KITENGO - Shetta
Msanii anae kuja kwa kasi sasa Shetta tunapata kumjua zaidi pale alianzia kuandika mistari akiwa shule na pia alikua mwanafunzi wa aina gani?
Mgodi - Nuhu Mziwanda
Ndani ya mgodi kutana Nuhu Mziwanda akiwa tayari amesha toa nyimbo nyingi na single ya sasa ikiwa - Otea nani.
Usiku Mnene - Vanessa Mdee
Show kali pale maisha club stagini akiwa Vanessa Mdee aka Vee Money, ndani ya usiku mnene!