Mafikizolo live
Mafikizolo walivyowasha moto kwenye Friday Night Live wiki hii kabla ya show yao iliyofanyika pale Mlimani City Jumamosi hii
Backstage
Wasanii wanaochipukia mbalimbali walipokuja kuzindua video zao, hapa tukiwapima kama wanaweza kwenye game, sikiliza michano.
Kalapina
Kalapina aongelea wimbo wake mpya aliomshirikisha QChilla na jinsi muziki wa hiphop unavyoelekea, msikilize hapa