Ukosefu lishe bora chanzo vifo vya watoto wachanga
Maziwa ya mama ni moja ya chanzo kikuu cha lishe bora kwa watoto wachanga. Unyonyeshaji husaidia kupunguza vifo vya watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano.
Taasisi ya Chakula na Lishe nchini Tanzania imesema zaidi ya asilimia 60 ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano hapa nchini wanafariki kutokana na ukosefu wa lishe bora.