Birthday Bongo Movie: Kanumba Sajuki wakumbukwa

Bongo Movie, mwishoni mwa wiki hii wameadhimisha miaka 3 tangu kuanza kwa umoja wao kwa aina yake, katika sherehe ambayo imehudhuriwa na umati mkubwa wa wasanii kutoka tasnia ya filamu Tanzania, huku wakitumbuizwa na wasanii mbalimbali wa muziki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS