Marehemu Racheal kuzikwa kesho Dar.
Msanii wa filamu wa aliyepoteza maisha juzi usiku yeye na mtoto wake aliyekuwa anajifungua, Racheal Haule atazikwa siku ya kesho jijini Dar es Salaam katika makaburi ya Kinondoni, baada ya mpango wa kumsafirisha kuelekea Njombe kubadilika.

