Michuano ya Judo A.Mashariki kutoa wa madola
Chama cha mchezo wa JUDO Tanzania bara JATA kimesema kuwa wamemaliza mvutano uliojitokeza dhidi ya wenzao wa Zanzibar baada ya kufanya kikao nakukubaliana namna ya kuwapata wawakilishi watakaowakilisha Tanzania.