Makamu wa rais akemea ukataji miti hovyo

Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohamedi Gharib Bilal amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaokata miti hovyo ambapo amewataka kutambua kuwa vitendo hivyo vinachangia uharibifu wa mazingira na ongezeko la madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS