Bunge la katiba laendelea bila uwepo wa UKAWA
Mwenyekiti wa bunge maalum la katiba Samuel Sitta leo amelitaarifu bunge hilo kuwa kamati ya uongozi ya bunge hilo inatarajiwa kuwa na kikao cha kuzungumzia kitendo cha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA ) ya kususia Bunge hilo jana jioni,