Ukurasa wa facebook wa Misosi waibiwa

Bwana Misosi

Msanii wa muziki Bwana Misosi, amejikuta akiingia katika changamoto ya kiteknolojia baada ya mtu asiyemfahamu kuingilia ukurasa wake wa Facebook kwa lugha ya kimombo 'kuu-hack', na kuanza kuutumia ukurasa huo kurubuni watu kwa kutumia jina lake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS