Weekend Movie Jumapili wk18
HIDDEN TREASURE sehemu ya kwanza ni hadithi ya binti wa kizungu anayetoka safari na kuingia jiji la Arusha. Baba yake kabla ya kufa anamwambia kuwa ana nyaraka za hazina aliyoificha. Binti anapoanza kufatilia hazina hiyo inaingiliwa watu wabaya.