Lady Jaydee afunguka kuhusiana na tamasha lake la Historia kutofanya vizuri kutokana na mvua na awapa ahadi mashabiki waliohudhuria tamasha hilo.