'Bongo Reggae' kuzinduliwa Dar
Kundi kali kabisa la muziki wa Reggae hapa Tanzania, Warriors From The East wamewataka mashabiki wao kukaa tayari kwa uzinduzi mkubwa wa albam yao mpya ambayo inakwenda kwa jina Bongo Reggae, utakaofanyika hivi karibuni kwa onyesho kubwa jijini Dar.