Hospitali inakabiliwa na upungufu wa vifaa Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru inakabiliwa na upungufu wa shuka 300 na blanketi 200 kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa kila siku. Read more about Hospitali inakabiliwa na upungufu wa vifaa