Ligi kuu bara: Ashanti, Mbeya city ni fainali Michuano ya Ligi Kuu ya soka Tanzania bara (VPL), inaingia raundi ya 24 kesho kwa mechi mbili ambapo Kagera Sugar itaikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Read more about Ligi kuu bara: Ashanti, Mbeya city ni fainali