Lupita awa Balozi wa Bidhaa za Urembo
Nyota ya mwigizaji filamu wa kimataifa ambaye asili yake ni huko nchini Kenya, Lupita Nyong'o, imeendelea kung'aa zaidi, hasa baada ya mwanadada huyu kupata shavu la kuwa balozi wa bidhaa maarufu za urembo huko Marekani.