Uchaguzi wa ubunge Chalinze leo

Wakazi wa jimbo la Chalinze mkoa wa Pwani nchini Tanzania, leo wanapiga kura kumchagua mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mdogo unaofanyika kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo marehemu Saidi Bwanamdogo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS