Ushirikina wakwamisha miradi ya umeme na maji

Baadhi ya wakazi katika wilaya ya Chemba wakitafuta maji

Miradi ya maji na umeme katika baadhi ya maeneo ya halmashauri ya wilaya ya Chemba imeshindwa kutekelezeka kutokana na imani za kishirikina ambapo wakandarasi wa umeme wamekuwa wakikumbana na nyoka kila wanapochimba kusimika nguzo za umeme.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS