Wanasheria wakutana kujadili tozo mpya ya Dowans
Jopo la mawakili, wanasheria na wanaharakati wa haki za binadamu, linakutana jijini Dar es Salaam kujadili maamuzi ya mahakama kuu, ya kutaka kituo cha Sheria na Haki za Binadamu - LHRC kiilipe sh bilioni 2.8 kwa kampuni ya kufua umeme ya Dowans.

