Ukurasa wa Juacali wahakikiwa msanii Juacali wa nchini Kenya Msanii Juacali kutoka Kenya, naye ameweza kuingia katika orodha ya watu maarufu ambao kurasa zao za Facebook zimehakikiwa, hatua ambayo itamsaidia kuwasiliana na mashabiki zake kwa uhakika zaidi. Read more about Ukurasa wa Juacali wahakikiwa