Usaili wa pili wa #2014Dance100 J'mosi hii
Zoezi la usaili wa mashindano ya kucheza nchini Tanzania,#2014Dance100 2014 linaendelea ambapo linaingia kwenye mchujo wa pili utakaofanyika siku ya Jumamosi hii ya tarehe 26 mwezi huu kwenye viwanja vya basketball vya Don Bosco Oysterbay.

