TASO kutoa elimu kwa wakazi wa mkoa wa Lindi

Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group Imani Kajula (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.

Wananchi mkoani Lindi wanatarajia kuelimishwa njia bora na za kisasa za uvuvi, ufugaji na ukulima ili waweze kuongeza kipato chao na taifa kwa ujumla.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS