Vifo vinavyozuilika bado tatizo nchini Tanzania
Zaidi ya wanawake 7,900 hufariki dunia kila mwaka nchini Tanzania kutokana na matatizo ya ujauzito, ambapo pia watoto wapatao 40,000 nao hufa kila mwaka katika siku 28 za mwanzo baada ya kuzaliwa kutokana na sababu zinazoweza kuzuilika.

