Dovutwa ataka migogoro ya ardhi ishughulikiwe

Mwenyekiti wa chama cha siasa nchini Tanzania cha UPDP Bw. Fahami Dovutwa ameiomba serikali kushughulikia matatizo ya ardhi yaliyopo kwa sasa ambayo mengi kati ya hayo yamekuwa yakisababishwa na uwekezaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS