Uandikishaji BVR mikoa ya Kusini wavuka malengo Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC imesema imevuka malengo ya uandikashi wapiga kura kwa mfumo wa BVR katika mikoa ya Lindi, Ruvuma na Iringa ambayo wamemaliza uandikishaji mwezi uliopita. Read more about Uandikishaji BVR mikoa ya Kusini wavuka malengo