Kallaghe aeleza kwanini ameacha kutengeza muziki

John Kallage

Mtayarishaji video anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS