Mejja: Kaka alinifunda kikazi
Staa wa michano wa nchini Kenya, Mejja ameweka wazi kuwa safari yake ya muziki ambayo imemfanya kufika alipo sasa, imehamasishwa kwa kiasi kikubwa na kaka yake wa damu ambaye alikuwa akifanya muziki katika kundi lililofahamika kama Ghettoh Clan.

