Chuo cha Mifugo LITI cha Mpwapwa chafungwa
Serikali imekiagiza chuo cha Mifugo (LITI) kilichopo Wilayani Mpwapwa kufungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi wa chuo hicho kufanya fujo kwa madai ya kutoridhishwa na mfumo mpya wa vyeti vinavyotolewa na chuo hicho.