Kala: bado nina matarajio na jina langu
Star wa muziki Kala Jeremiah, baada ya kuweka wazi changamoto mbalimbali ambazo zinawafanya wasanii wasiweze kufaidika na majina yao ikiwepo kukosa menejimenti na sapoti ndogo ya wasanii, ameeleza kuwa anajivunia kwa nafasi binafsi alipofikia.

