Wakimbizi Nyarugusu waililia Jumuiya ya Kimataifa
Wakimbizi wa Burundi walio katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wameiomba Jumuia ya kimataifa kuendelea kuishinikiza serikali ya Burundi kutofanya uchaguzi na kushughulikia mgogoro wa nchi hiyo mapema.
