Jiandikisheni Daftari likipita halirudi- Mhagama
Serikali imewataka wananchi wajitokeza kwa wakati kujiandikisha katika Daftari la kudumu la mpiga kura kwa mfumo wa BVR na wazingatie muda uliowekwa na Tume kwa kuwa hakutakuwa na uandikishaji mwingine baada ya zoezi hilo kupita.

