Waziri wa nchi ofisi ya rais (kazi maalumu) Prof Mark Mwandosya
Serikali imeuondoa muswaada wa sheria ya haki ya kupata habari 2015 uliokuwa uwasilisilishwe na kujadiliwa katika mkutano unaoendelea wa bunge mjini Dodoma ili kutoa nafasi kwa wadau kutoa maoni yao.