Lupita Nyong'o awakumbuka wakenya Lupita na Wazazi wake Star wa filamu wa kimataifa mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong'o anatarajia kutua nchini humo kwa ziara maalum kunyanyua jumuiya ya kisanaa na vilevile kuongeza uelewa katika jitihada za uhifadhi wa maliasili. Read more about Lupita Nyong'o awakumbuka wakenya