Watoto wawili wauawa na Fisi Mkoani Dodoma

Mnyama aina ya Fisi ambae anasadikiwa kuwaua watoto wawili Mkoani Dodoma.

Watoto wawili wenye umri wa kati ya miaka miwili na mitano wameuawa na fisi katika kijiji cha Mnkola kata ya Ibihwa Wilayani Bahi Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS