Kwanini Kujiandikisha kwa Kutumia mfumo wa BVR? Mfumo wa Uandikishaji Wapiga Kura wa hapo awali (OMR) ulionekana kupitwa na wakati na hivyo kuwa vigumu katika uhifadhi wa taarifa zake. Read more about Kwanini Kujiandikisha kwa Kutumia mfumo wa BVR?