Wakazi wa Ilula wakabiliwa na shida ya maji

Mbunge wa jimbo la Kilolo Prof. Peter Msola akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwatasi katika kata ya Bomalang'ombe katika jimbo la Kilolo.

Wakazi wa mji mdogo wa Ilula wilaya ya Kilolo wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji ili kuondokana na usumbufu wa kusafiri umbali wa kufuata huduma hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS