Wahamiaji 2,000 wakamatwa kwa kujiandikisha BVR
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imesema imewakamata zaidi ya watu elfu mbili wasio raia wa Tanzania kwa kosa la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura katika mikoa kumi na tano ya Tanzania,