Bwana Misosi kurejesha jina staa wa miondoko ya bongofleva Bwana Misosi Mkongwe katika gemu Bwana Misosi ameweka mkakati mkubwa wa kurejea katika kilele cha chati za muziki wa Bongofleva ndani ya miezi miwili ijayo, akiwa na kazi na damu changa zinazofanya vizuri katika gemu kwa sasa. Read more about Bwana Misosi kurejesha jina