Watanzania watakiwa kuwafichua raia wenye Silaha
Wananchi wanaoishi katika maenao ya mpaka kati ya Tanzania na Burundi katika mkoa wa kigoma , wametakiwa kuwafichua raia wa nchi jirani wanaoingia kinyemela na kuingiza silaha mbalimbali za kivita nchini.