Chagua kiongozi na sio chama. Ni haki kwa kila mtanzania kupata kitambulisho #Ni zamu Yako kumchagua kiongozi bora sio chama kwani chama kina watu wengi kuna wazuri na wabaya ndani yake. Read more about Chagua kiongozi na sio chama.