Wakazi wa Lindi watakiwa kujiandaa na Nane Nane
Wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara wametakiwa kutoa ushirikiano kwa wageni watakao wasili katika mikoa hiyo kwa ajili ya sherehe za maonyesho ya kilimo (NANENANE) yanayotarajiwa kuzinduliwa Agosti 3 mwaka huu na waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano.