Mfumo unafanya wasanii mikoani wasitoke - KOKU
Msanii wa anayetamba na wimbo Nakuwaza aliomshirikisha nguli wa muziki nchini Tanzania Bushoke, Koku Dramer amesema wasanii wengi wa mikoani licha ya kuwa na vipaji wanashindwa kufanya vizuri kutokana na soko la muziki kuegemea sana Jijini Dar.

