Wadau toeni sapoti kwa wasanii wachanga: RECHO
Video Queen wa Kibongo na Msanii wa filamu kutoka nchini Tanzania Rechel Njingo amechaguliwa kushiriki katika tuzo za Nyambago Awards kama Best Actress kutoka Central Zone kupitia movies yake ya Clarita ambayo inafanya vizuri kwa sasa.

