Tumchangue kiongozi anaependwa na watu wengi. Kama kweli tunahitaji mabadiliko tutunze shahada zetu, itakapofika tar 25oct, tuweze kumchagua kiongozi atakae kidhi matarajio ya watanzania. Read more about Tumchangue kiongozi anaependwa na watu wengi.