CCM Arusha kuwashughulikia wanaokihujumu chama
Chama Cha Mapinduzi (CCM), MKoa wa Arusha kimesema viongozi ambao wameweka mguu mmoja CCM na mwingine upinzani, ni bora watoke mara moja wawaachie chama chao kuliko kuhujumu chama hicho, vinginevyo watashughulikiwa vikali.