Waandishi andikeni habari zote si uchaguzi -Nkulu
Waandishi wa habari mkoani Mbeya wamekumbushwa kutoandika masuala ya kisiasa pekee wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu na badala yake wajikite zaidi kuandika habari za kijamii ambayo ndio msingi mkuu wa maendeleo ya nchi.
