Maandalizi ngao ya jamii, Azam Fc kambi Zanzibar
Mabingwa wa Kombe la Kagame, Timu ya Azam Fc wanatarajia kwenda visiwani Zanzibar kujiandaa na mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Agosti 22 mwaka huu Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.