Serikali kudhibiti Usafirishaji wa Kemikali hatari
Wakala wa maabara ya mkemia mkuu wa serikali wamesema kuwa kufuatia kuendelezwa kwa bandari ya Tanga kuendelea kufanya kazi kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo shughuli za usafirishaji wa kemikali ambazo ni hatari kutokaTanzania kwenda nje ya nchi.