Wachimbaji wadogo waomba wataalamu wa miamba Rachel Njau ni Mchimbaji wa Madini ya Tanzanite Wachimbaji wadogo wa madini kutoka mikoa mbalimbali wamelalamikia uchimbaji wa kubahatisha walioufanya kwa kipindi kirefu na kuwasababishia hasara ikiwemo upotevu wa mitaji. Read more about Wachimbaji wadogo waomba wataalamu wa miamba