Wasanii: Sheria ya mtandao utata
Kufuatia kuanza rasmi kwa sheria mpya ya makosa ya mtandaoni Tanzania, wasanii wa muziki ambao wamekuwa kwa sehemu kubwa waathirika wa lugha za kashfa na kudhalilishwa katika mitandao, wametoa tathmini ya mapokezi ya sheria yenyewe.

