Moze Radio adaiwa kurudia ulabu Moze Radio Star wa muziki wa nchini Uganda, Moze Radio ameripotiwa kurejea katika tabia yake ya awali ya kupiga mtungi kupindukia, hii ikiwa ni baada ya kutangaza kuachana na vilevi ikiwepo uvutaji wa bangi siku 16 zilizopita. Read more about Moze Radio adaiwa kurudia ulabu